medrickrobert
Member
- Apr 25, 2017
- 58
- 9
nina mtuhumiwa wangu ambaye ni mwizi. niliibiwa ndani lakini sikufanikiwa kumkamata wala kumwona. ila vielelezo vyote kutoka kwa watu wake wa karibu vinadhibitisha yeye ni mwizi wa kudumu mtaa nnaoishi.na wapo aliowahi kuwaibia na wakamwona wakayamaliza juu kwa juu. nilimpeleka mahakamani lakini ushahidi unahitajika na hatujamkamata na hvyo vitu maana kwa taarifa tuliyopata akiiba huwa anavisafisha usiku huo huo. na naamini 100% huyo ndo kaniibia kutokana na mazingira fulani ukiyatathmini unajua tu nfo huyo