Unachokisema ni sahihi,lakini sijui unaongelea hukumu ya kesi gani?tafadhari nifahamishe!!Nafikiri kuna kitu kimenipita. Kuuwa ni kosa baya na kubwa sana, ila hukumu ya kunyongwa lazima kosa lithibitishwe kwa ushahidi usio na mawaa wala chenga chenga, sasa jaji kuhukumu kunyonga kwa ushahidi wa mazingira inatisha sana. Kwa wale mnaojua sheria hasa sheria zetu za Tanzania hivi ndivyo sheria zinavyosema au ??
Nijuavyo kama ushahidi huo hauachi shaka basi mahakama haina budi kuukubali na kutoa hukumu kadiri ya matakwa ya kisheria...Nafikiri kuna kitu kimenipita. Kuuwa ni kosa baya na kubwa sana, ila hukumu ya kunyongwa lazima kosa lithibitishwe kwa ushahidi usio na mawaa wala chenga chenga, sasa jaji kuhukumu kunyonga kwa ushahidi wa mazingira inatisha sana. Kwa wale mnaojua sheria hasa sheria zetu za Tanzania hivi ndivyo sheria zinavyosema au ??