Linus w slaa
Member
- Jan 29, 2025
- 67
- 152
Bongo movie πΏMuliro bhana!!
Sijawahi kuona IST wala Vitz ikiwa na hizi numberWadau, ushahidi huu wa picha unaonyesha kuwa plate number SSH 25 30 ni nyingi sana, na inaweza kuwa hatari kama si rasmi. Kama hawajakamatwa, wacha drama na tuendelee na maisha β lakini mamlaka ziwasilize! Je, mmeona magari haya eneo lako? Je, ni viongozi au wafanyabiashara? Shirikieni maoni yenu hapa chini, weke picha zako, au link. Tujadili ili tufike ukweli. #SSH2530
#PlateNumberTanzania #Uchaguzi2025 #NoReformNoElection
Kuna Corolla moja ipo Makongo Dar .....zingine ni machawa waandamiziSijawahi kuona IST wala Vitz ikiwa na hizi number
Muliro anatuona Wajinga sana!Wavusha waethiopia,
Mpk oct29 ni kuogoelea dolali TU,
Mwendo ni VX v8 plus chata la SSH2025π
Haha, DeepPond , wavusha wa Ethiopia wameingia kwenye game ya SSH 25 30 na VX V8 plus chata? π Lakini ngoja, unamaanisha mpaka Oct 29 wanaogelea dolali au wanakimbiza namba hizi? π Wewe umeziona wapi hizi V8 za SSH2025? Tupa picha au story kidogo tuongeze kwenye ushahidi wa hizi plate number za "mystery"! #SSH2530 #V8VibesWavusha waethiopia,
Mpk oct29 ni kuogoelea dolali TU,
Mwendo ni VX v8 plus chata la SSH2025π
Hiyo ni ya mchongoKuna Corolla moja ipo Makongo Dar .....zingine ni machawa waandamizi
Jay4 anazinguaMuliro bhana!!