Ushahidi wa Video: Gori la Kagere dhidi ya Namungo sio offside

Yule mchezaji alimtoroka mfungaji kabla mpira haujapigwa kichwa, ingekuwa mpira umetoka kwa yule aliyepiga kwa mguu ukaenda moja kwa moja kwa mfungaji pasingekuwa offside
 
Tumefungwa magoli mengi sana na waarabu kwa kujifanya tunacheza offside trick lile ni goli halali kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lile goli lilikua CLEAR OFFSIDE. Pia niliangalia marudio ya ile video vizuri kwenye kipindi cha KIPYENGA CHA MWISHO ilikua ni Clear offside.

Ila sio kulaumu sana kwa kuwa marefa nao ni binadamu na kuna human errors tukumbuke
 
Tatizo wananufaika mikia tu..mbona timu nyingine hakuna human errors
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…