jamani mi nashauri habari ya uchaguzi tuachane nayo.
wengine tunapata hasira sana lkn ndo hivyo hatuna la kufanya.
Mistake of fact or mathematical errors which are not fatalWatu wamepiga kelele sana na kumponda Dr Slaa kuwa anaongopa kuhusu wizi na udanganyifu kwenye kujumlisha matokeo ya uraisi. Ushahidi wazi kuwa matokeo ya kura haya ni ya uongo ni huu hapa: Waosha vinywa pingeni na hili pia
Mistake of fact or mathematical errors which are not fatal
Watu wamepiga kelele sana na kumponda Dr Slaa kuwa anaongopa kuhusu wizi na udanganyifu kwenye kujumlisha matokeo ya uraisi.
Ushahidi wazi kuwa matokeo ya kura haya ni ya uongo ni huu hapa:
Waosha vinywa pingeni na hili pia
:smile-big::smile-big::smile-big: mnajuwa kuna pahala mtu aliuliza INAKUWAJE pro azidiwe na mtu kama KUGA!! mimi nilimbabaisha babaisha na kumuacha kwanza, watu wengi hawajui matokeo yanavochakachuliwa. Watu wa Tume wametengeneza data base ya kijinga sana, inaweza kuchezewa kwa namna nyingi, na walioko majimboni wanatuma data kama walivoziingiza, kisha zinaenda makao-makuu ya wizi kama zilivyo, kule tayari formula inakuwepo yani data zikiingia tu zipo zinazozidishwa na zipo zinazopunguzwa, haijalishi siku hiyo MCHAKACHUAJI KALALAJE! NDIO MAANA KUNA WAGOMBEA HAWAKUONEKANA MAENEO MENGINE KABISA WAMEWAZIDI WALIOENDA HUKO!!Watu wamepiga kelele sana na kumponda Dr Slaa kuwa anaongopa kuhusu wizi na udanganyifu kwenye kujumlisha matokeo ya uraisi.
Ushahidi wazi kuwa matokeo ya kura haya ni ya uongo ni huu hapa:
Waosha vinywa pingeni na hili pia
jamani mi nashauri habari ya uchaguzi tuachane nayo.
wengine tunapata hasira sana lkn ndo hivyo hatuna la kufanya.
Hakuna siri ya watu wawili.
NEC hawakulijua hili.
Kwa nini vyombo vya ulinzi na usalama wanafumbia macho vitendo hivi vya wanasiasa?
Kwa nini? Kwa nini? Kwa nini?