BABU KIDUDE
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 1,587
- 916
Nikijiswali cha uzushi, nimekumbuka baada jana kuona mmoja wa X wangu akipost kumbukizi ya miaka saba ya ndoa yake, nakumbuka siku ya Send off yake nilikuwepo, na ilitokea vulumai moja baada mimi kuonekana kwenye send off party hiyo nikipigiwa Shangwe na shangazi zake kitendo kilicho wauzi miongoni kaka na Marafiki wa Bwana harusi.(Tunajuana vizuri)
Nakumbuka ukumbi wa (NBAA). Kitendo kilichopelekea kufukuzwa hapo. Unajua Tabia za Wangoni wa kike, baada ya mimi kuingia mmoja aliniona na kunifuata akanipigia magoti hapo kuinuka mpaka pesa ahh ahh nikampa buku tano, wakaenda kuitana bana ahh ahh balaa.
"Jioni Njema "