Ushahudhuria Sherehe za Harusi/Send off za X wako wangapi? Unakumbuka nini?

BABU KIDUDE

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
1,587
Reaction score
916
Nikijiswali cha uzushi, nimekumbuka baada jana kuona mmoja wa X wangu akipost kumbukizi ya miaka saba ya ndoa yake, nakumbuka siku ya Send off yake nilikuwepo, na ilitokea vulumai moja baada mimi kuonekana kwenye send off party hiyo nikipigiwa Shangwe na shangazi zake kitendo kilicho wauzi miongoni kaka na Marafiki wa Bwana harusi.(Tunajuana vizuri)

Nakumbuka ukumbi wa (NBAA). Kitendo kilichopelekea kufukuzwa hapo. Unajua Tabia za Wangoni wa kike, baada ya mimi kuingia mmoja aliniona na kunifuata akanipigia magoti hapo kuinuka mpaka pesa ahh ahh nikampa buku tano, wakaenda kuitana bana ahh ahh balaa.

"Jioni Njema "
 
Nilikutana nae ghafla Jumatatu Town akiwa kwenye maandalizi kabla ya send-off yake siku ya Alhamis, akaniambia hiyo habari ya send-off na kunisisitizia niwepo itafanyikia home kwao. Nilimpa sharti la kukumbushia kwanza ndio nitaudhuria. Kweli baada ya kumaliza shopping zake jioni nikala mzigo nikampeleka hadi karibu na kwao Mbezi nikaachana nae. Na kwenye send-off nilitimba kama kawaida.
 
Aise..ni Mungu asimame tu katika ndoa hakuna namna
 
Huyo sio X wako sasa ni mwanamke wako unampa mtu mwingine akutunzie
 

Mtu mwenye akili timamu hawezi kuhudhulia harusi ya x wake
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
hata mojaa
 
Duh hili swala hili[emoji848]
 
Uyo bila shaka alikuwa wa kaskazini mpare au mmburu...kama nmekosea basi mngoni..

Ila Hawa wanawake..
 
Duuh aiseee
 
Mimi tulikuwa tumesha temana kitambo ila wala sikuwahi kuumia kila nikimuona na men wengine ila daah! Siku anaolewa nilijikuta karoho kananiuma sijui ndio wanakaita ka kisokorokwinyo hata sijuagi kwanini roho iliuma.



MAGUFULI4LIFE.
 
Naweza kuhudhuria na akihitaji msaada ninaweza kumsaidia kwanini mjenge uadui?
 
Sijawahi..ila zis month nipo kuelekea huko...😂😂 Nitarudi na mrejesho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…