justin mabula
New Member
- Jun 30, 2015
- 3
- 0
Naombeni Ushahuri, Nnamdogo wangu kapata fursa ya Kusomea Locomotive Driver (Dereva wa Treni) uko Tazara ambapo wataenda somea Huko Zambia kwa muda wa miaka Miwili chet kilichotumika ni cha Form 4 na gharama za masomo na kila kitu inaweza fikia 5M je ? Ndugu zangu kwa mnavyoiyona Shirika la Tazara linaweza kuwa na Mshahara Mzuri kwel ikaleta Tija kutoa gharama zote izo ukizingatia yeye Anadegree ya Uhasibu au Anaenda kupoteza muda tena ??
Au nyinyi Mnashahuri nini
Au nyinyi Mnashahuri nini