Ushahuri wa bure kwa wamiliki wa Clouds na Mh. Sugu


Kweli kabisa mkuu, huu ugonjwa unawamaliza watu wengi, wanashindwa kufanya maamuzi kwa ajili ya kuwakomboa wengine japo kuna gharama ya kulipa kwa kuhofia kunyimwa kura, yani watu wanawaza kushinda tu uchaguzi unaofuata bila bila kufanya kazi barabara katika kipindi ulichonacho.
 
Unazi ni kitu kibaya sana. Unaweza kukufanya hata mavi uyaone keki.


  • [h=6][/h]


    vinega kwa kazi!!!!!!!!!!!!!!!!!!safi sana rasta!!!




    ·







  • [h=6]Joseph Mbilinyi

    TAARIFA:NASKIA LEO JAMAA WAMEAMKA NA JIPYA,KWAMBA SHOW YA VINEGA ILIKUWA MATUSI MATUPU!

    KWANZA SIO KWELI NA TUNATOA DVD NA UMMA UTAONA NA KUHUKUMU MANENNO YAO,PILI HIVI KUNA RADIO INA LUGHA CHAFU NA MATUSI KAMA CLOUDS FM??!!KWA MFANO TU,NI WAO WANAOPROMOTI UPUUZI UNAOITWA 'KANGA MOJA',YALE NI NINI KAMA SIO MATUSI NA UPOTOSHAJI WA MAADILI ULIOMBATANA NA UDHALILISHAJI WA WATOTO WA KIKE??!!

    O[/h]


 

Jamaa hajui hata etiquette za uandishi.
 
wamebaki kuwadanganya walio mbali na dar eti show ilkuwa matusi matupu, polisi walikuwepo na hawakumchukulia hatua mtu yyt VINEGA ,MAGENGE wanahakati wa ukweli
 
nijuavyo hat siku moja rege na kundi lake nikamanisha kibonde ubongo wao haujakaa mahala pake,na pale walipo hawaijui nguve ya umma sasa subiri siku watu tutakapo amkia pale ofisi kwao ndio wataijua nguvu ya umma,ni hakika kama wanaakili timamu kupitia tamasha hili wanatakia wajitune kujitoa kwenye mapambano kati yao na nguvu ya umma,kwani hata mkuu wa kaya analijua hilo kuwa nguvu ya umma ni kiboko
 
Mapambano aliyoanzisha sugu ni makali sana.Ila historia inaonyesha siku zote huwezi ukawa unazulumu watu\uma ukashinda nguvu ya uma.Sugu ameanza mapambono kam yeye binafsi siku nyingi na ameweza kushinda na kuwa kinara japo misukosuko ni mingi.Sasa ameamua kupigana kwa style mpya ya kuwaweka hadharani wanadhulumu haki za wasanii..TUKO NAYE PAMOJA na atashinda/tutashinda
 
vinega ni aina ya ndege watamu sana nakumbukia enzi zilee tunawinda kwa kutumia ulimbo mitaa ya mikocheni kabla hakujavamiwa na mapedeshee!!!!!!
 
vinega ni aina ya ndege watamu sana nakumbukia enzi zilee tunawinda kwa kutumia ulimbo mitaa ya mikocheni kabla hakujavamiwa na mapedeshee!!!!!!

Mi hao vinega nimewatungua sana na manati aisee.
 
Kwnaza siamini ninachokisoma hapa! mnataka kusema DMX hakuwepo kunako shoio ya chama cha map......! aka clouds?! Mbona asubuhi kwenye kipindi chao cha Nguvu ya kifungua kinywa yaan power break fast akina pj na Babla na Jeradi walikuwa wanatamba kuwa shoo yao ilikuwa bab kubwa ila ya ant virus ilidorola na kwamba eti watu waliingia bure hata hivyo haikufua dafu kwa ya kwao na eti ant virus walikuwa wanasema/ kuimba matusi adharani!

Ukweli ni upi wedau nijuze manake mimi niko kimanzichana huku hata runinga zina vumbi bin chenga sikuona kitu.
 
Kitu capital redio mazee wanafunguka hao,clouds wanawafanyia unyama watanzania wenzao,anguko la clouds linakuja kwa kishindo hasa kwa ubia walioingia na ccm na serikali yake!
 
HAKI na UKWELI daima HUSHINDA, unaweza ukawatawala watu hata kwa zaidi ya miaka 200 (refer black ppo in america, african coloniazation, etc) lakini ipo siku HAKI na UKWELI vitashinda.
kuhusu wasanii walio'perform show ya clouds, mi siwashangai sana, najua wengi njaa ndo iliwapeleka pale ( eg afande sele), na wengine mikataba ya ulaghai (THT) huku wakijua kabisa clouds ni VIRUSlakini hawana namna ya kujinasua.
SUGU, ENDELEZA HARAKATI, WALIOKUSALITI USIWAJALI MAANA HATA WAKATI TUNAMUONDOA MKOLONI, WAPO WAAFRIKA WENZETU WALIOSHIKAMANA NAYE ILI KUHAHAKISHA UHURU UNAKOSA/UNACHELEWA, LAKINI BAADAYE SOTE TULIFAIDI MATUNDA YA UHURU.
 
So you can take your unsolicited advice over there instead of putting it here. Y'all scared or something?

Nonsense. nobody's scared ...That's what e-comm. is all about... Why dont u take the views u give here to whoever u want to give in person?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…