Ushahuri wa bure kwa wamiliki wa Clouds na Mh. Sugu

Kule usukumani...hahahah....naona umechanganyikiwa hujua hata u-pst nini kazi unayo mkuu.................

Mti wenye matunda daima ndo hupopolewa mawe. Mpende msipende Clouds wako juu kama mawingu (with pun intended). Na mtaendelea kuumia sana watakapozidi kufanikiwa.
 
Ukweli huwa nasikiliza vipindi vya michezo tu yaani saa tatu usiku tofauti na hapo sina cha kusikiliza kutoka Clouds FM....

Afadhali umekubali kuwa unapenda kuisikiliza. Ningekushangaa kama ungekataa.
 

Ni ushauri mzuri bt hawa wafu fm wanajifanya wajuaji sana tunakomaa nao tu hadi wawalipe vizuri wasanii kwenye matamasha yao ndo wataongea na sugu. Na huyo ruge amlipe sugu hela za maralia no more
 
Kabla ya uchaguzi mwaka jana nlikuwa nikiisikiliza clouse ila baada yakuona mambo yao hasa jahaz na walivyokuwa warogokaji sijawahi kuisikiliza wala sipendelei kuisikiliza tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…