Ushahuri wa kozi za kujaza kwa wadogo zetu 2020/2021

Ushahuri wa kozi za kujaza kwa wadogo zetu 2020/2021

must be

Member
Joined
Oct 6, 2014
Posts
84
Reaction score
28
kwa wanaohitaji kujiunga na vyuo..kwa waliosoma Science inabidi kuwa makini Sana'a...baada ya TCU kushusha..vigezo vya GP na point...wengi watakimbiliaa kuomba u doctor na pharmacy matokeo yakee watakosaa ...wakirudi kupanga tena ...wanakuta nafasi zilizobaki in Education tu.

Screenshot_20200801-182738.png
 
kwa wanaohitaji kujiunga na vyuo..kwa waliosoma Science inabidi kuwa makini Sana'a...baada ya TCU kushusha..vigezo vya GP na point...wengi watakimbiliaa kuomba u doctor na pharmacy matokeo yakee watakosaa ...wakirudi kupanga tena ...wanakuta nafasi zilizobaki in Education tu..
Hapo inabidi kutuliza akili maana ukikimbilia u udaktari tu ...ukishakosa imekula kwako..vyuoo vya Doctor of medicine kimeongezeka St Fransis Ifakara.muhimbili,KCMC ,UDOM,BUGANDO,KAIRUKI,SY JOSEPH...KAMPLA WAMEPIGWA PIN MEDICINA wamefunguliwa Pharmacy
 
Ushauri mzuri. Hata DDD unakwenda Medicine! Rubbish!
 
Ushindani utakuwa mkubwa hivyo lazima wajaze na programs nyingine. DDD kwangu mimi iko poa kwani enzi hizo kuna walioingia medicine na chini ya hapo. Kwa wale wenye uwezo watafaidika kwani wakipata vyuo vya nje na hizo DDD, TCU haitawawekea kauzibe wakirudi. Dawa ya muda mrefu ni kufungua programs zaidi za afya vyuoni ili kukidhi mahitaji.
 
Back
Top Bottom