Ushindani utakuwa mkubwa hivyo lazima wajaze na programs nyingine. DDD kwangu mimi iko poa kwani enzi hizo kuna walioingia medicine na chini ya hapo. Kwa wale wenye uwezo watafaidika kwani wakipata vyuo vya nje na hizo DDD, TCU haitawawekea kauzibe wakirudi. Dawa ya muda mrefu ni kufungua programs zaidi za afya vyuoni ili kukidhi mahitaji.