habari wana jf naombeni msaada nataka kujua siku za hivi karibuni ukienda kwenye taasisi nyingi mfano bank migodi. viwanda na hata hotel unakuta wamefunga cctv camera je mahakama zetu zinatumia kama ushaidi kuweza kumufunga mwalifu naombeni kujua kwa hilo i