Hakuna kitu cha bure Duniani hio Olympic inalipiwa, je kuna watazamaji wa kutosha kulipia?Hadi leo hakuna michezo/mashindano hayo huku dunia ikiyajadili kila saa ,hapa ndio unaona tofauti ya azam media na makampuni mengine
Startimes ,dstv, kanal na wengine wanaonesha ila hawa jamaa wa buguruni bado sana
Wako busy na simba na Yanga kila siku na vitu muhimu wanashindwa
USSR
Kama Startimes wanaonesha inatoshaHadi leo hakuna michezo/mashindano hayo huku dunia ikiyajadili kila saa ,hapa ndio unaona tofauti ya azam media na makampuni mengine
Startimes ,dstv, kanal na wengine wanaonesha ila hawa jamaa wa buguruni bado sana
Wako busy na simba na Yanga kila siku na vitu muhimu wanashindwa
USSR
Unajua masharti ya kuonesha mashindano hayo? unajua nani ana haki miliki ya matangazo hayo?Unajua gharama ya kulipa ili upewe kibali cha kuonesha mashindano hayo?Unajua kuwa azam ni kituo binafsi,na kwamba kinafanya biashara?Usikurupuke kuandika kitu bila kufanya utafitiHadi leo hakuna michezo/mashindano hayo huku dunia ikiyajadili kila saa ,hapa ndio unaona tofauti ya azam media na makampuni mengine
Startimes ,dstv, kanal na wengine wanaonesha ila hawa jamaa wa buguruni bado sana
Wako busy na simba na Yanga kila siku na vitu muhimu wanashindwa
USSR