Ushamba: Kuna watu wamepewa makavu by Konde Boy

Ushamba: Kuna watu wamepewa makavu by Konde Boy

Venus Star

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2018
Posts
26,519
Reaction score
78,311
Kondeboy
Weeeeeeeee

Chorus
Huo ni ushambaa huo ni wee huo ni ushambaa huo ni wee
Huo ni ushambaa huo ni eeeeh huo ni ushambaa


Verse

pesa ya kulipa gesti unayo eeeh nyumbani familia inapiga miyayo eeeh
mmh yanafurahisha ufanyayo eeeh huo ni ushamba

inaboa kudadadeki dereva wa uber hataki kuova teki eti kisa pesa haiongezeki eeeh huo ni ushamba

yupo kitandani kajilegeza eeh
mi nimeshapaka vya kuteleza eeh eti bebi leo simba wanacheza eeeh huo ni ushamba

husband material kutwa unalike picha za makalio vya wenzako usijipe matamanio eeh huo ni ushamba

Ashura wa mbagala huna pakula pakulala komenti ndefu picha za kajala huo tunaita eeeh huo ni ushamba


Chorus
Huo ni ushambaa huoni huo ni ushambaa huo ni
Huo ni ushambaa huo ni eeeeh huo ni ushambaa


Verse
mmmh malejendi si wamerudisha vita wanahofia eti jeshi anawapita bila sababu wananikunjia ndita
eeh huo ni ushamba limechoka

acha nilikalagaze halina meno ilo simba zeee likila demu lazima litangaze huo tunaita eeeh huo ni ushamba

hivi dunia ndo ipo kikomo eeh maana hadi waganga wanapiga promo hadi insta eeh wana page za kujipigia domo eeeh huo ni ushamba

amepanga chumba huko vingunguti yupo mbezi kwa demu pesa hatafuti mmh vipi akikupiga kibuti eeeh huo ni ushamba aaah

konda wa daladala umenipitisha bahati mbaya nililala unataka nilipe tena ni busara eeeh huo ni ushamba


Chorus
Huo ni ushambaa huo ni huo ni ushambaa huo ni
Huo ni ushambaa huo ni eeeeh huo ni ushambaa


Verse
kaja na vumbi uso umefubaa anadai kapaka poda eeh kaniomba nauli ya uber
eeeh huo ni ushamba yule namuona kapanda boda vitu

vingine haviji na ubongo eeh punguzeni sifa wana sio mchongo eeh demu humjui unampakia mkongoo eeeh huoni ushambaa

yeye ndo kalewa kuliko wote anaimba nakucheza ngoma zote wakati wakulipa bili sina chochote eeh huo ni ushambaa

meno yote nje anachekelea ahsante bebi nimepokea hasa mbona haujatuma na yakutoleaa eeeh huo ni ushambaa

kumepambazuka alfajiri tupo club wana anasema subiri yani kisa yeye ndo mwenye usafiri aah eeeh huoni ushambaa

tunaishi kwa nyumba ya kupanga mwenzetu unatuletea muganga unataka wote tuonekane wangaa huo tunaita eeeh huo ni ushambaa


Chorus
Huo ni ushambaa huo ni huo ni ushambaa huo ni
Huo ni ushambaa huo ni eeeeh huo ni ushambaa.

hehehehee hasa kama kama tumekutana mchana unasema haujala
heheheee asubuhi si ungeniomba mswaki wewee hehehe hahaha hahahahah

Huo ni ushambaa huo ni huo ni ushambaa huoni
Huo ni ushambaa huo ni huo ni ushambaa

They call me kondeboy no 1 jeshiiiiiii


 
Chibu: Simba zee likila demu lazima litangaze

Kiba: Malegendali

Lavalava: Amepanga vingunguti, anaishi kwa demu Mbezi

Rayvan: Koti la M8 kavaa Harmo kwenye video ya ushamba.
 
Natabiri kwa mstari huo wenye "Simba zee likila demu lazima likatangaze"
Utachafua Uzi maana mashabiki wa domo nawajua
 
Binadamu ni kiumbe kishenzi sana,,,muda wowote anakuchenjia mfanyie mema 100 ila ukimfanyia baya moja atasahu yote atakulipa lile baya kwanza.
 
Daah
Screenshot_20201109-234931~2.jpg
 
Nimeshangaa harmolicious ajaponda chadema au taarabu ijayo wamo kwenye uzani

Amesahau alivo sugua bambataa pale taifa sa ivi atausugulia pale madale
 
Uku alipofika harmonize namshauri atafute kazi nyingine. Muziki umeshamtupa mkono, amepiga hatua 100 nyuma.
Kuna mistake kubwa sna amecheza ya kutokuchukua fomu ya kugombea ubunge wakt tayar alishasafishiwa njia na kayafa, lazima wangempitisha na leo hii angeamkia mjengoni. Bt kwa sasa ndo imeisha hyoo.
 
Back
Top Bottom