Ushamba : Mbagala wapiga kigodoro kusherehekea ushindi wa Yanga siku 2 mfululizo

Ao ndio wananchi wenyewe Wana namnayao ya kurahia maisha, Nyie mnao Kesha club na kufurahia kisasa pia mna uhuru wenu wa kufurahia maisha kwa staili yenu. Kwa ujumla ao wote ni wananchi na wamefurahi.
 
Kama mtu mzima mwenye miaka 30 anasherekea birthday yake sasa kwanini watu wasisherekee ushindi wa kumfunga simba?

Au kuna kifungu chochote katika katiba kimevunjwa kwa kufurahia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…