ZE NDINDINDI
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 1,885
- 4,012
Jamaa kajichubua siku hizi ,anahojiwa eti anasingizia kwamba siku hizi anaoga vizuri,ana drive ,ana maisha mazuri kwa hiyo weusi umemkimbia ...
Hakyamungu,these idiots,type za Kina ray aliyedai kwamba anakunywa maji mengi na anashinda kwenye AC ofisini na garini sijui kina Akon,seal,Don Cheadle,Hounsou,Mario ballotel,Bacary Sagna wasemeje sasa?kwamba wao ni weusi,dark kweli hawana hela na magari au????
shame kabisa,midume mizima inajichubua,kaligraph Jones nimemvua nyota zote..Jinga kabisa kabadili hadi accent,mamaeeee
mwanamziki wa miondoko ya kufoka foka huko kenya mwenye asili ya kijaruo.Naomba kujuzwa huyu jamaa na mtanzania au?
Maana yake nini yani???Ila ni maisha yake,..what's ur business?
Kapelekwa mjini na Christian Bela kang'ang'ania hukohuko
MK254 nilikuwa namkubari sana huyu kijana wenyu caligraph Jones.
kwa hili la kuanza kujichubua ngozi kama vijana wa kikongo kwa kweli limenisononesha.
naona umagharibi umemtawala sana huyu jamaa mpaka sasa anatamani kuwa mweupe kama mzungu.shame on him.mambo ya kujichibua awaachie akina ali kiba na diamond sio yeye mwanamziki mkali wa hip hop.
Maana yake nini yani???