[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] lol.Juzi kuna mtu kasema amemuona msukuma kajichora tatoo ya M-Pesa [emoji23][emoji23]
Mie kwa kuwa ni Watani zangu siku zote watabakia kuwa washamba tu kwa kweli.
kihene mayo oliho? Dele gawiza nkoy..... Msitusumbue wapiga Kura wa JIWE a.k.a Mzee wa Dona kantreeee
Uko wapi Mtani wangu msukuma.com. [emoji23][emoji23][emoji23]
Kesho yake ulikunya mavi mengi kama kilo 8 hivi.!View attachment 830104View attachment 830104
Kwenye chakula hakuna kuremba wala kujivunga, ila hiki chakula kilikuwa kitamuu..... Nakumbuka hadi jasho lilinitoka.
Umewaona wasukuma wangapi mpaka kufikia kubeba hii notion kichwani mwako?Msukuma akipata cheo/ madaraka ghafla hujiona ana akili, busara na ni mtanashati kuliko woote anaowaongoza!!
Kwa sifa ulizoweka basi hata Nabii Eliya nae atakuwa MsukumaUSHAMBA WA MSUKUMA UKO WAPI?
Ninavyomfahamu
1.Hapendi makuu,ukimchokoza anasema KAYA YA NG'WOBA NAYO KAYA ili siku ipite salama.
2.Hapendi kesi,ukimdhurumu anasema MAGUZU MASESE ili asipoteze muda kufuatilia mambo ya kesi,badala yake afanye kazi.
3.Hapendi kuumiza moyo kwa hasara iliyotokea, akipata hasara anajipa moyo kwa kusema JATULWA MBITI JITATANANHAGA ili aepuke matatizo ya madonda ya tumbo, moyo presha n.k.
4.Hapendi kujikweza, ukimsimanga ugenini anasema NG'OMBE NG'ENI IKAPAMAGWA NA DIDA,wengine husema don't disarenge the funiture while you are still a guest na huo ndo ustaarabu.
5.Ni mvumilivu hata kwenye suala la utafutaji, akianza na mtaji mdogo hujipa moyo kwa kusema BUSHI BO MBULI BUKAKWILILAGA MU BUTUNGO,wengine husema haba na haba hujaza kibaba.
6.Hatoi siri ovyo ovyo, ukimdadisi anakwambia KAMANWA MAMBI KALI MU NG'OMA ili kuepusha uchonganishi.
7.Kipindi cha njaa huwafariji wana familia kwa kuwaambia SHILIWA SHIDOHE BALI BAKWILE ili kuwaondoa hofu akijua baada ya dhiki kuna faraja.
8.Hana roho mbaya,penye watu wengi na nafasi ndogo husema BITOGILWE BATISHITAGA, ili kujenga upendo na kutobaguana.
9.Hana hasira za kukurupuka, ukimchukiza anasema AKULIPA WELELO huku akitafakari cha kufanya.
10.Anajua mambo yote hapa duniani ni ubatili na yote yatapita,akikabiliwa na jambo gumu asiloliweza anasema NDUHU TAABU.
Wasukuma oyeeeeeeee hebu dondosha neno la kisukuma hapo akipatikana mwenzio anzeni kubonga
Siwapendi hawa kuanzia wake wa darUSHAMBA WA MSUKUMA UKO WAPI?