Ushamba wa msukuma upo wapi?

hatujasema kuwa ni washamba ila mshiriki kampeni ya kukata mikono ya sweta kwa watu wazima.
mwanaume ukiwa na mkono wa sweta, akili zinaganda unakuwa na sifa za kijinga ukiona mtu anaumia unafurahia. ah magovinda bana! sawa geeete
" nyanoko"
 
Wa
Wanawake wa kisukuma hawana siri kuhusu mahusiano yao ,atasema na kukuhadithia kila kitu.
Wana wivu mno
 
Wasukuma nimeishi nao,ukweli ni watu safi sana hasa ugomvi, hawapendi hii kitu ila wanaukabila wakufa ntu
 
Wa

Wanawake wa kisukuma hawana siri kuhusu mahusiano yao ,atasema na kukuhadithia kila kitu.
Wana wivu mno
Hahahah Sasa wakiinjoi unazani waache kusimulia
 
Hahahah Sasa wakiinjoi unazani waache kusimulia
Bora wangekua wanasimulia muda wote mazuri ,n kuyamba wame zao afu mume akirudi yuko busy mapenz nibebe. Akii wasukuma
 
Kwa
Dah kumbe ipo hivyo itabidi Dinazarde atueleze vyema.
kwel m nko usukuma huku mpaka leo nashangaa mno,afu ukiwa msimbe unadharaulika huku yaan mtu anathamini anganganie bwana yeyote ili mradi wapike wapakue ,ili mwanamke aasifiwe ameolewa.teh teh
 
Kwa

kwel m nko usukuma huku mpaka leo nashangaa mno,afu ukiwa msimbe unadharaulika huku yaan mtu anathamini anganganie bwana yeyote ili mradi wapike wapakue ,ili mwanamke aasifiwe ameolewa.teh teh
Kweli kwenye swala la single mother (Msimbe) usukumani ni moja ya vitu ambavyo msichana/mwanamke hufanya aonekane kudharaulika sana.
 
Wasukuma bhana et ukiwap wali wansema ni mboga so lete Ugali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…