Ricky Blair
JF-Expert Member
- Mar 13, 2023
- 463
- 1,009
Iwe krismasi au Eid au Pasaka na sikukuu zote za Waislamu au Wakristo. Jamani Watanzania tuache ushamba wa kuweka mafoleni barabarani au malls au beach kwa ushamba tu, si upike pilau home yaishe?
Kweli unatoka Gongo la Mboto kwenda Coco beach? Au kushangaa tu malls na mnaweka mafoleni na watoto wenyewe mnawachosha na jua kali au possibility ya ajali among majanga mengine na hela zenyewe Hamna za ku enjoy sana si bora mkae home mpike basi na sehemu za kutembea chagua a neutral day tu.
Ni wazo tu si ushambulizi!