Ricky Blair
JF-Expert Member
- Mar 13, 2023
- 463
- 1,009
Asante kwa best comment,Ushamba ni kufatilia maisha ya watu.
Unachokiona hakina maana kwako basi ujue kina maana kwa wengine,Watu bwana kujibu kwa hisia Yaani watanzania can't argue kabisa Cjui hata Km 1% know philosophy. Either way mnakera na kuleta vurugu kwa watu wengine so inanihusu hapo. Kujazana bila sababu na foleni na Hamna chochote cha maana
watu wa mikoani mnai overrate sana Dar. Mnashindwa kuelewa kwamba Dar ni mkoa na jiji kama yalivyo mengine. Hali zote za kimaisha lazima ziwepo.🤣🤣waache wananchi wa hali ya chini daslam wakaoshe macho mjini 🤣 mtu anakwamhia naishi daa ,ukifika anapoishi sasa lol 🤔 anyway waache wainjoi bana 🤣 nao wanapenda vitu vizuri na shekeli tu zinasumbua
Ni wivu tu unawasumbuaHuo ushamba wengine tulishauacha kitambo hata kupika hatupiki, tunapika cha kawaida tu, nguo mpya ndio hatununui kabisa. Ila unaweza ukawa na mke limbuekeni wa masikukuu atataka chakula kipya kipikwe na nguo mpya zinunuliwe. Kwa kuwa tuna watoto huwa tunawanulia nguo mpya na chakula kipya kinapikwa kwa ajili yao wafurahie sikukuu na mitoko watoke wakajumuike na watoto wenzao huko kwenye burudani zao. Watoto ndiyo wana enjoy sikukuu, watu wazima ni ushamba mtupu
Mie sio wa mkoani mama,nimejenga daslam goba🙏mkoani niko kikazi tu 🤣🤣🤣watu wa mikoani mnai overrate sana Dar. Mnashindwa kuelewa kwamba Dar ni mkoa na jiji kama yalivyo mengine. Hali zote za kimaisha lazima ziwepo.
ni mambo ya kizamani yamepitwa na wakatiNi wivu tu unawasumbua