Ushamba wa wabongo, Viewers wa youtube si kigezo cha uzuri wa wimbo

Kwa
Audio ya despacito ni kali tena sana .... lakini pia hata hivyo siwezi kusema eti ndiyo wimbo bora duniani, fanbase ya wale majamaa ni kubwa sana hivyo hata kuwa na hayo maviews billions pia si kigezo.
Kwani mkuu huwezi andika bila matusi ya jumla jumla? we ungeandika ukatuelewesha, sasa inakuwa kama unaongea na watu unaowafahamu kijiweni! acha hizo zinatufanya wengine tukuone hujakomaa
 
Kwa hiyo mashabiki wa Alikiba ni watu wa 89 kushuka chini sio?
Mshamba wa wapi wewe
 
Sijawahi kumchukia Dimond na sijawahi kuchukia wimbo wake ila huu wimbo wa #baba lao## ni mbayaaaaaa ni mbayaaaaaaa ni mbayaaaaaaa
So what's itching you? Una options wasanii wapo kibao
 
IN MUSIC INDUSTRY YOU EITHER CHOOSE TO BE A TREND OR RALPH LAUREN. katika industry ya muziki kuna nyimbo zina views mabilioni na kuna zilizo bora na zisizo bora piah, kuna nyimbo ya Gangnam style ina views Mabilioni lakini huwezi niambia ni bora kuliko Dear Mama ya 2pac, kuliko Personally ya Psquare au Mungu pekee ya Realshinski, kisa tu imegonga Views Billion, lakini pia kuna nyimbo zilizo bora na stahili kuwa na views billion kama Mi-gente, Despacito zinastahili kabisa, Nadhani jajimento iwe katika maudhui ya nyimbo lakini tusijaji ktk upande wa views tu kuwa nyimbo ni kali, tujifunze kuangalia na upande mwingine, huhitaji kuwa trend ili kuonyesha ukali, hadhi ya Ralph lauren inatosha kabisa, mitazamo tu ya mashabiki ndio inafanya views iwe kigezo ila kwa mtu anayeujua muziki in deep hawezi weweseshwa na suala hili. Tujifunze kutofautisha hivi vitu viwili kati ya views na Ubora, ni vitu viwili tofauti aidha uchague kimojawapo .

Mfano wa pili katika kisa kinachofanania na hiki ni kuwa palizuka mjadala hapo Nyuma kati ya MJ NA BOB kuwa nani mkali wa muda wote, Watu wakastick katika Tuzo kama kigezo cha MJ kuwa juu zaidi ya Bob. Lakini hawakuangalia upande mwingine kuwa kati ya hawa wawili ni yupi FALSAFA zake zinaendelea kuishi vizazi hadi vizazi?? ni wapi ukitembea Falsafa zake zinafikika na kuishi ndani ya maisha ya watu katika Uhalisia?? Nadhani Jibu utakuwa nalo wewe msomaji. MJ had his way, But BOB made his ways, Nadhani vitu hivi viangaliw katika mapana zaidi kuliko ku stick katika kitu kimoja thats why Tuzo kama za Oscar, Grammy zinaangalia vigezo vingine zaidi nje ya views tu kufanya Jajimento ya Tuzo kwa Msanii.
 
So what's itching you? Una options wasanii wapo kibao
Na wewe kinakuwasha nini mimi kuchangia hoja yangu. Acha mahaba ya kipuuzi utaolewa buree. Nazipenda nyimbo za dimond kibaooo ila huu ni mbayaaaa
 
Most intelligent reply of my Day....una akili sana Mkuu.
 
Na wewe kinakuwasha nini mimi kuchangia hoja yangu. Acha mahaba ya kipuuzi utaolewa buree. Nazipenda nyimbo za dimond kibaooo ila huu ni mbayaaaa
unajua maana ya kuolewa mshamba wewe?
Kubinuliwa kwako, kupigwa kwako miti kusinipe shida mimi kazae chuki zako leba huko maana unaonekana hata kizazi huna.

Msimbe mkubwa wewe babaako!
Kojooooo shundu mwanamke huna hata tako mfyuuuu
 
Kumw elimisha mjinga gharama yke kubwa sanaa kiongoz na unajipa taabu tu
Kwan tayr ujinga umeshawaingia hadi kunako hawa viumbe
 
Mbona una hasira sana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…