Kila kabila lina washamba sema makabila mengine wengi huishia makao makuu ya wilaya zao kutokana na kutokutoka vijijini mwao kwenda kutafuta fursa sehemu mbalimbali hivyo ni ngumu kwa ushamba wao kuonekana kwa kiwango kikubwa ila kwa upande wa wasukuma kwanza wapo wengi pia wanajituma kwenye masuala ya kutafuta fedha hivyo ni kitu cha kawaida kwa msukuma kutoka moja kwa moja kijijini na kutia timu Dar kuleta biashara (kwa Dar hata mtu ambae anaonekana mjanja na ameishi mjini bado akiingia Dar huonekana mshamba) wakati hao wengine hawana cha kupeleka mjini matokeo wanatumia ndugu ambao tayari walishaingia mjini kitambo
By the way ushamba wa wasukuma umeanza miaka hiyo hata kabla ya uhuru walipokuwa wanafanya biashara na imekuwa kama utani baina ya watu wa Pwani (wakwere,wazaramo, wandengereko) maana mwisho wa siku walikuwa wengine wanabaki mjini wanajichukulia warembo