Prof Janabi wa JF
Senior Member
- Jul 7, 2023
- 165
- 450
Wakuu juzi kati katika harakati zangu nikakuta tangazo. "Are you single and ready to mingle" kwa akili yangu ya kibongo nikaogopa kulisoma kwa ukaribu, ila kwa kuwa nilikuwa kwenye traffic lights nikawa nasoma kwa kuibia kabla taa hazijaruhusu kuvuka. Tangazo lilisema watu wahudhurie wakapate watoto wazuri, neno moja nililosoma liliandika "We are ready to hook you up".
Yaani nilijistukia, nikakimbia sikusoma tangazo hadi mwisho. Lakini baadae nikawaza, hapa US matukio kama haya ya kukutana na Hookers(Makahaba) ni jambo la kawaida, mimi niliogopa nini? Au nilizani niko Sangulachore ambapo watu wako busy kuangalia mtu anafanya nini.
Kesho yake nikapiga mishe zangu nikaenda kwenye tangazo, ili niende zangu kwenye tukio, kwanza ada yao ilikuwa ndogo tu, na ni ada ya mwaka mzima kwa picnics na kila kitu watakachopanga. Kwenda kwenye tangazo roho iliniuma, maana tukio lilikuwa ni la siku iliyopita ambayo nilisoma tangazo kwa woga. Nikasema nitakaa na nanii zangu hadi lini?
Nikajilaumu kidogo ila nikasema muda bado upo, ngoja wajichanganye tena, nikafanye yangu. And by the way bado niko sana huku, tofauti na kina Mpoki na Mwijaku ambao wamekuja kidogo na kusepa.
Wakuu, hizi fujo zangu mvumilie tu, maana kwenye mitandao yenye utambulisho wangu rasmi nafanya fujo zaidi ya hizi, mixer mapicha picha na mavideo tu. US mchezo. Hadi sasa nishazurura sana na bado nitazurura hadi nirudi nyumbani nitakuwa nimeenda majimbo mengi.
Yote ya yote, kwenye vipengele vingine nawawakilisha vizuri. Tuendelee kuombeana