let the caged bird sings
JF-Expert Member
- Sep 19, 2020
- 3,699
- 8,857
Rudi bongo mkuu....huko arusha mbona hio ni biashara nzuri tu.....mbwa hadi ana chakula chake speshooo sio mabaki mabakiLeo katika pita pita zangu natoka Brooklyn Napenda Menlyn
Nimeona Shule ya Mbwa.
This is extremely fantastic... dogii nae Ana shule!! [emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 1923354
Nipo bongo tangiapo, Chief.Rudi bongo mkuu....huko arusha mbona hio ni biashara nzuri tu.....mbwa hadi ana chakula chake speshooo sio mabaki mabaki
ππ.. Id yangu inaongea uhalisia wangu.Mimi nimependa tu ID yako,
'Let the caged bird sing'..!!
Kwa picha hii ni kweli sio uongo.Wenzako wanakuambia jeshini pia kuna dog alikufa alikua na cheo cha sajenti sasa sijui ni kweli?
Yupo hadi koploWenzako wanakuambia jeshini pia kuna dog alikufa alikua na cheo cha sajenti sasa sijui ni kweli?
Cheo cha juu kabisa ni nani?Yupo hadi koplo