Mzee Wa Kazi Chafu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2022
- 2,245
- 4,966
Acha ushoga basi.... au ushazoea huwezi kuacha tena?Pharmacy zipo karibu hapo nenda chap kanunue sumu ya panya maana kitanzi kitakuchelewesha kujinyonga, badala ya kujadili mambo ya msingi unateseka na ushangiliaji wa Mayele ovyooo kabisa wewe
Acha shombo,mpira ni burudani kama inauma chomoa uvae uende.Hilo swali nililidokeza jana, huyu mwamba anapenda kucheza na majukwaa ana ushangiliaji wenye mfanano wa kwaya
Hili swala likipotezewa na kuchukuliwa kawaida ipo siku atafunga goli atatoka nje ya uwanja achukue boda boda amfate mkewe aje naye uwanjani ashangilie goli hilo
Kwani mmezuiwa kufunga na kushangilia kama papaa mayele?Hilo swali nililidokeza jana, huyu mwamba anapenda kucheza na majukwaa ana ushangiliaji wenye mfanano wa kwaya
Hili swala likipotezewa na kuchukuliwa kawaida ipo siku atafunga goli atatoka nje ya uwanja achukue boda boda amfate mkewe aje naye uwanjani ashangilie goli hilo
Mpira ni burudani, basi tupe burudani ya mpira usilete burudani nyingine ambazo zinapoteza mudaAcha shombo,mpira ni burudani kama inauma chomoa uvae uende.
Kwani nani kuongelea swala sisi kushindwa kufunga?'Kwani mmezuiwa kufunga na kushangilia kama papaa mayele?
Kama vipi mzuieni asifunge ili asipate nafasi ya kushangilia.
Hilo swali nililidokeza jana, huyu mwamba anapenda kucheza na majukwaa ana ushangiliaji wenye mfanano wa kwaya
Hili swala likipotezewa na kuchukuliwa kawaida ipo siku atafunga goli atatoka nje ya uwanja achukue boda boda amfate mkewe aje naye uwanjani ashangilie goli hilo
Mkuu basi nenda FIFA uwape proposal ya kukataza ushingiliaji pindi goli linapofungwa. Yaani kushangilia kwa goli limekuwa mjadala mkubwa kiasi hiki? Mbona shangilia ya yule mchezaji wa Namungo Stephen Sey haikupigwa kelele za upotevu wa muda? Vipi Morrison ile shangilia yake mbona nae anatoka uwanjani anawaita wenzie anawaambia tulia tulia kisha wananengua hamkuona upotevu wa muda? Achrni hasira na Mayele kwa kujadili vitu vya visivyo na maana mnajiabisha uwezo wenu wa kufikiriaMpira ni burudani, basi tupe burudani ya mpira usilete burudani nyingine ambazo zinapoteza muda
Psychopath cases ni nyingi sana jukwaani hapa,yaani hawa makolo ni vituko na wako biased sana kizuri kwao ni kile anacho fanya mchezaji wa makolo tu ila wengine wote ni hovyo..Mkuu basi nenda FIFA uwape proposal ya kukataza ushingiliaji pindi goli linapofungwa. Yaani kushangilia kwa goli limekuwa mjadala mkubwa kiasi hiki? Mbona shangilia ya yule mchezaji wa Namungo Stephen Sey haikupigwa kelele za upotevu wa muda? Vipi Morrison ile shangilia yake mbona nae anatoka uwanjani anawaita wenzie anawaambia tulia tulia kisha wananengua hamkuona upotevu wa muda? Achrni hasira na Mayele kwa kujadili vitu vya visivyo na maana mnajiabisha uwezo wenu wa kufikiria
unateseka nduguKushangilia ni jambo zuri kwa ufungaji wa goli, lakini sasa huu muda unaotumiwa na mchezaji wa timu ya Yanga Mayele pindi afungapo goli na kuanza kuwaita wenzake waanze kushangilia naona kama ni upotevu wa muda tu.
Shangiliaji wake si mbaya ila kitendo cha kuanza kuwaita wenzie ndo anaharibu.
Wivu ni kitu kibaya sana aiseeKushangilia ni jambo zuri kwa ufungaji wa goli, lakini sasa huu muda unaotumiwa na mchezaji wa timu ya Yanga Mayele pindi afungapo goli na kuanza kuwaita wenzake waanze kushangilia naona kama ni upotevu wa muda tu.
Shangiliaji wake si mbaya ila kitendo cha kuanza kuwaita wenzie ndo anaharibu.
Hivi kumbe ushangiliaji wa huyu Bwana umeleta taabu namna hii. Nashauri Bunge lipitishe sheria ushangiliaji wa Mayele liwe Jambo maalum la kitaifa. Yaani kama ilivyo "Nawasalimu Kwa Jina la Jamhuri" basi na hii Tetema ya Rayvany Mayele irasmishwe.Wivu ni kitu kibaya sana aisee
Wivu huo kunya anye kuku akinya bata kaharisha.Angalia na kufuatilia ushangiliaji wa Morrison kuna tofauti gani na wa Kalala MayeleKushangilia ni jambo zuri kwa ufungaji wa goli, lakini sasa huu muda unaotumiwa na mchezaji wa timu ya Yanga Mayele pindi afungapo goli na kuanza kuwaita wenzake waanze kushangilia naona kama ni upotevu wa muda tu.
Shangiliaji wake si mbaya ila kitendo cha kuanza kuwaita wenzie ndo anaharibu.
Inawezekana ushabiki unawafanya msinielewe nilichokusudia.Wivu ni kitu kibaya sana aisee