Ushasikia msemo gani kitaa ukakuacha mdomo wazi?

Ushasikia msemo gani kitaa ukakuacha mdomo wazi?

jangos

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2023
Posts
208
Reaction score
231
Natumai mu wazima.

Nakumbuka way back nikiwa kwenye harakat zangu...

Kuna baharia aliniita na kuniuliza ishu Fulani, nilmjibu kavu akanambia "chora".

Nikawa nashangaa tu kumbe maana yake ilkuwa "nisepe"😂😂

Vipi we ushasikia msemo gani kitaa ukakuacha mdomo waz??
 
Kuna misemo ukinitumia sikujubu maana nakutafsir kama mswahili then muhuni

Mfano nipange, au unitumie sms mjuba muhuni

Sikujubu ukituma aina hiyo ta sms
 
Tambaa😂, hii ilikuwa mke na mume wanagombana, mume akamwambia mke "tambaa bhna", yaani aondoke aende ndani aache kumpigia kelee.
Basi nimeubeba .... Ukizingua "eem tambaa huko"
 
Kuna misemo ukinitumia sikujubu maana nakutafsir kama mswahili then muhuni

Mfano nipange, au unitumie sms mjuba muhuni

Sikujubu ukituma aina hiyo ta sms
au wale wa "kausha basi msela". Sema labda huishi kitaa, ukiishi huko unaenda na beat nawe unaruka nao kidizaini😂
 
Kama hapo ungenitumia sms nisingejibu kuna namna umeeandika sms kihuni zaidi
Basi hukai mtaani ndugu yangu ndomna unaona maneno ya kihuni. Ila Huwa yanaitwa misimu kama siyakosea , maneno yasiyo rasmi yanayozuka na kutumiwa na jamii Fulani ya watu. Kwahy hiyo misemo ipo sanaa kwa vijana
 
"Mbowe" kumbe Manake Kiti chenye Gundi.
Au jina la ubatizo Ruba.
 
Back
Top Bottom