au wale wa "kausha basi msela". Sema labda huishi kitaa, ukiishi huko unaenda na beat nawe unaruka nao kidizaini😂Kuna misemo ukinitumia sikujubu maana nakutafsir kama mswahili then muhuni
Mfano nipange, au unitumie sms mjuba muhuni
Sikujubu ukituma aina hiyo ta sms
Kama hapo ungenitumia sms nisingejibu kuna namna umeeandika sms kihuni zaidiau wale wa "kausha basi msela". Sema labda huishi kitaa, ukiishi huko unaenda na beat nawe unaruka nao kidizaini😂
Basi hukai mtaani ndugu yangu ndomna unaona maneno ya kihuni. Ila Huwa yanaitwa misimu kama siyakosea , maneno yasiyo rasmi yanayozuka na kutumiwa na jamii Fulani ya watu. Kwahy hiyo misemo ipo sanaa kwa vijanaKama hapo ungenitumia sms nisingejibu kuna namna umeeandika sms kihuni zaidi