J jumanne kiluly Member Joined Jul 9, 2016 Posts 13 Reaction score 1 Jul 11, 2016 #1 Jamani nataka kusoma dploma ya sheria vp ni fucult nzurii
Mdau JF-Expert Member Joined Mar 29, 2008 Posts 1,789 Reaction score 473 Jul 11, 2016 #2 Toroka aisee...wanasheria wakikuta uandishi huu wanakufunga. Ila kwa ushauri ungeenda chuo cha nyuki Tabora, wana diploma pia.
Toroka aisee...wanasheria wakikuta uandishi huu wanakufunga. Ila kwa ushauri ungeenda chuo cha nyuki Tabora, wana diploma pia.
Amoxlin JF-Expert Member Joined May 30, 2016 Posts 3,782 Reaction score 4,111 Jul 11, 2016 #3 Mwaka gani maana muda wa application umeisha.
J jumanne kiluly Member Joined Jul 9, 2016 Posts 13 Reaction score 1 Jul 11, 2016 Thread starter #4 Naenda open university wanapokea
radhaki Member Joined May 16, 2013 Posts 55 Reaction score 26 Jul 23, 2016 #5 Ni faculty nzuri sana, jenga urafiki mzuri na vitabu vya sheria, majarida,nakala mbalimbali za kisheria....mambo utayaona mazuri sana..
Ni faculty nzuri sana, jenga urafiki mzuri na vitabu vya sheria, majarida,nakala mbalimbali za kisheria....mambo utayaona mazuri sana..
King_Jeke_Tile JF-Expert Member Joined Dec 19, 2015 Posts 225 Reaction score 129 Jul 23, 2016 #6 Ushauli?
Madafyuka Member Joined Jul 22, 2016 Posts 15 Reaction score 5 Jul 23, 2016 #7 msimvunje moyo jamani, kwani walioweza wana nn?