ushauli

rnaluyaga

Senior Member
Joined
Jul 6, 2014
Posts
139
Reaction score
10
dokta, kaka yanga anasema akikutana na wa ubavu wake akitoa yale maji meupe mazito ili kutafuta mtoto anaona zinarudi, je?afanyeje ili ziende ndani kwa mamusapo
 
dokta, kaka yanga anasema akikutana na wa ubavu wake akitoa yale maji meupe mazito ili kutafuta mtoto anaona zinarudi, je?afanyeje ili ziende ndani kwa mamusapo
Anapotoa hayo maji meupe yanarudi nje? Anapomaliza kutoa Maji Meupe (Sperm) kwa huyo ubavu wake mwambie asitoe hilo dushelele lake nje kwa haraka atulie japo dakika 5 ndani ya huo ubavu wake

kisha anaweza kutoa hilo dushelele lake nje. Na Je anaweza kurudia Goli la pili kucheza? Kama ataweza kurudia mechi ya kipindi cha pili mwambie acheze mechi ya kifo cha mende yeye awe juu golikipa awe chini na kila anapofunga goli achelewe kutoa dushelele lake kwa muda

wa dakika 5 ataweza kumpa mimba huyo ubavu wake mwambie hivyo na apendelee kucheza mechi iwe asubuhi kuanzia saa moja asubuhi mpaka saa mbili asubuhi. Kisha uje hapa utupe Feedback.
 
apendelee kucheza mechi iwe asubuhi kuanzia saa moja asubuhi mpaka saa mbili asubuhi. Kisha uje hapa utupe Feedback.

Heshima kwako mkuu,samahani unaweza nielezea kibaolojia mantiki ya kufanya hili zoezi asubuhi kwenye hiyo mida kama ulivyo shauri?
 
Heshima kwako mkuu,samahani unaweza nielezea kibaolojia mantiki ya kufanya hili zoezi asubuhi kwenye hiyo mida kama ulivyo shauri?
Kwa ufahamu wangu unapokuwa umekula chakula usiku unatakiwa ulale usiku ili unapo amka

asubuhi uwe na nguvu za mwili wa kuweza kufanya kitu chochote sasa endepo utakapo fanya tendo la ndoa Asubuhi kuanzia jua linapo

chomoza unaweza kumtia mke wako mimba kuliko kufanya tendo la ndoa usiku au mchana au jioni unakuwa wewe mwenyewe nguvu

zimepunguwa na hutoweza kumtia mke wako mimba aghalabu sana kutokea kumtia mke wako mimba kwa huo wakati lakini kwa asubuhi

itakuwa ni bora zaidi hata hizo Sperm zako zinakuwa na nguvu ya kuweza kuingia kiurahisi zaidi kwa mwanamke na kuweza kushika mimba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…