Makamee JF-Expert Member Joined Nov 29, 2013 Posts 2,029 Reaction score 1,194 Sep 24, 2016 #2 Biashara zote zinalipa muhimu kuwepo na demand &supply
mmbangaya JF-Expert Member Joined Jan 16, 2015 Posts 997 Reaction score 1,765 Sep 24, 2016 #3 Mhuu hili swali mbona gumu sana. Ila na mimi nikijifanya na uelewa kama wa aliyeuliza, biashara inayolipa ni ya 'Unga'.
Mhuu hili swali mbona gumu sana. Ila na mimi nikijifanya na uelewa kama wa aliyeuliza, biashara inayolipa ni ya 'Unga'.
Makamee JF-Expert Member Joined Nov 29, 2013 Posts 2,029 Reaction score 1,194 Sep 24, 2016 #4 wakwetu ngirini said: Mhuu hili swali mbona gumu sana. Ila na mimi nikijifanya na uelewa kama wa aliyeuliza, biashara inayolipa ni ya 'Unga'. Click to expand... Unga upi ngano au dengu?
wakwetu ngirini said: Mhuu hili swali mbona gumu sana. Ila na mimi nikijifanya na uelewa kama wa aliyeuliza, biashara inayolipa ni ya 'Unga'. Click to expand... Unga upi ngano au dengu?
mmbangaya JF-Expert Member Joined Jan 16, 2015 Posts 997 Reaction score 1,765 Sep 24, 2016 #5 Makamee said: Unga upi ngano au dengu? Click to expand... Muulize riziki
C Cute shy JF-Expert Member Joined Apr 27, 2015 Posts 1,189 Reaction score 1,292 Sep 24, 2016 #6 Biashara inayolipa na nzuri ni ile ambayo mtaani kwako hakipo