Kwanza ni kwamba nataka ufahamu kuwa umepata allergy. Na kama ni mara ya kwanza baada ya kula mayai yawezekana kutokana na madawa ambayo alikuwa kapewa kuku aliye taga hilo yai. Mara nyingine usi tumie mayai ya chanzo hicho
Kama tiba, unaweza kuanza na prednisolone 10mg x 3 kwa siku kwa siku 3-5. halafu punguza 5mgx3 kwa siku kwa siku 5-7 na uanze kutumia 5mg x 1 kwa siku kwa siku 3. Pamoja na dawa hiyo waeza kuongeza cetrizine 10mg x 1 kwa siku kwa siku 10.
Au nenda hospitali na watakudunga shindano ya Hydrocortison prn. GOOD LUCK