K khajat Member Joined Sep 2, 2013 Posts 16 Reaction score 4 Sep 16, 2013 #1 nna rafik yang wa kike ana tatzo la kutOkwa na ute mweupe ktk sehem zake za siri! na hajawah kufanya mapenz ht mara moja wala hapat muwashO wala maumv yyte ktk sehem zake! je waweza kuwa ni ugonjwa?
nna rafik yang wa kike ana tatzo la kutOkwa na ute mweupe ktk sehem zake za siri! na hajawah kufanya mapenz ht mara moja wala hapat muwashO wala maumv yyte ktk sehem zake! je waweza kuwa ni ugonjwa?
Gorgeousmimi JF-Expert Member Joined Jun 21, 2010 Posts 9,296 Reaction score 7,683 Sep 17, 2013 #2 Sio ugonjwa ndio uanamke huo!