arrested
Member
- Jul 22, 2018
- 35
- 8
habari za mida wadau!
2 weeks ago niliandika juu ya hitaji langu la kupata mwenzangu wa kula nae maisha nikaweka na wajihi wake anatakiwa awe sasa kibembe kimenikuta juu ya kutafutwa na mke wa mtu anadai kumchoka mme wake ambae anafanya kazi mkoa mwngine yeye kila akimmis na kutaka tu kutaka asikie sauti yake na matokeo mme kujifanya yupo bize na majukumu so amekuwa ananipigia hata saa tano usku, jamani nataka mke sio mtu wa ku spend life nae wakuu nifanyeje anielewe?
Kingine wakuu nimegundua wadada wengi hawapo serious na kwani wamekuwa sio watu wanaotaka ndoa wanataka mtu wa kula nae bata tu basii sio ndoa! Plz badilikeni
Mwisho nawakaribisha walio serious kama unaona unapenda ujana plz potezea tu.