Ushaur wa Biashara Mpya kutoka China unahitajika!

Ushaur wa Biashara Mpya kutoka China unahitajika!

dist111

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2012
Posts
3,758
Reaction score
3,199
salama wakuu!

Naomba mnisaidie kubrain storm kidogo hapa!

Ninatarajia kwenda China January kuangalia buzzness opportunity ambayo inaweza kunitoa nikiileta Bongo! so nahitaji Ushauri wa aina hiyo ya biashara!

Hapa nina tiketi na kama 10M hivi nataka angalau zifike 20M, nikienda na nikipata mzigo mzuri niuuage umasikini! So guys any buzness ideas???

mm mawazo yangu yamestack kwenye electronics, nguo, furnitures na Hardware! ss naomba mawazo zaidi!!
 
Electronics biashara kichaa, utaikimbia mwenyewe. Labda duka lako liwe maarufu na una mtaji mkubwa wa kukuwezesha kwenda na fasheni mpya za electonics.

Nguo nazo zinaelekea hukohuko. Unatakiwa kuwa na jina na location nzuri, fasheni itakukimbiza. Kama unajiamini ifanye.

Kwa upande wangu kwa hiyo 10 mill ungefungua hardware kubwa sana maeneo ya picha ya ndege ambapo watu wanaanza kujenga kwa sasa, tena unaanza na ule mzigo ambao unatoka kwa sasa. Hasa zile bidhaa zinazoanza kwenye ujenzi kama nondo, cement, PVC, bati. Baada ya muda unaanza kuweka finishing products kama rangi, electrical wires etc.

Kwa china sikushauri, unaweza kuchezea hela yako na ukajutia.

Huo mtaji ni mkubwa sana na unatosha.
 
Biashara ya Hardware ni sawa! Unaweza kwenda CHINA ukaagiza mzigo ukaja kuanzia Chamuhimu tafuta mtu wakuaminika Anaeijua vzr hiyo Biashara ili akwambie ni Vitu gani vinauzika haraka! kutokana na Eneo hucka!
 
salama wakuu!

Naomba mnisaidie kubrain storm kidogo hapa!

Ninatarajia kwenda China January kuangalia buzzness opportunity ambayo inaweza kunitoa nikiileta Bongo! so nahitaji Ushauri wa aina hiyo ya biashara!

Hapa nina tiketi na kama 10M hivi nataka angalau zifike 20M, nikienda na nikipata mzigo mzuri niuuage umasikini! So guys any buzness ideas???

mm mawazo yangu yamestack kwenye electronics, nguo, furnitures na Hardware! ss naomba mawazo zaidi!!

biashara ukifika china ziko nyingi sana cha msingi fanya utafiti wako vizuri na vitu unavyo enda kununua unapaswa kuwa makini sana unaweza kurudi masikini kwa feki ni nyingi sana hakikisha ukifika usikimbilie kununua zunguka hata kwa siku tatu kwenye masoko mbali mbali halafu kwa china huo mwezi huwa hawashauri sana kwasababu ya sikuku yao na baridi kali..
 
Vipi, mbona hamtaji biashara mpya jamani, mm naumiza kichwa kwny aina ya buzness! Najua ikiwa buzness mpya itakuwa safi sana! Shida ni ipi hasa..... ndio maana naomba msaada wa mawazo hapo
 
Biashara ya Hardware ni sawa! Unaweza kwenda CHINA ukaagiza mzigo ukaja kuanzia Chamuhimu tafuta mtu wakuaminika Anaeijua vzr hiyo Biashara ili akwambie ni Vitu gani vinauzika haraka! kutokana na Eneo hucka!

Binafsi! ndio naumiza kichwa kwenye hili jambo, atleast ungemention hata moja au mbili nipate pa kuanzia!
 
Leta condom za kike za kichina zinafaida sana
hivi matmizi ya kondom za kike yashaanza kuwa makubwa (Nijuzeni hili jambo) ila nimepata idea hapa, bidhaa za ndani za wadada (Hili nitalifuatilia)
 
biashara ukifika china ziko nyingi sana cha msingi fanya utafiti wako vizuri na vitu unavyo enda kununua unapaswa kuwa makini sana unaweza kurudi masikini kwa feki ni nyingi sana hakikisha ukifika usikimbilie kununua zunguka hata kwa siku tatu kwenye masoko mbali mbali halafu kwa china huo mwezi huwa hawashauri sana kwasababu ya sikuku yao na baridi kali..

Ushauri utazingatiwa! ila si unajua ndio muda wa vishort cozi na sie wengine ndio huwa tunatumia kachance hakohako kuangalia ustaarabu mzuri! So sina jinsi hapo
 
Vipi, mbona hamtaji biashara mpya jamani, mm naumiza kichwa kwny aina ya buzness! Najua ikiwa buzness mpya itakuwa safi sana! Shida ni ipi hasa..... ndio maana naomba msaada wa mawazo hapo
Post #2 inakufaa zaidi. Ikilipa nenda China ukabalizi tu.
 
Hiyo pesani ndogo sana kwenda china kuanza biashara na kuaanga umasikini kama ulivoysema.Kama unaweza wekeza kwenye kilimo tena kwa pesa ndogo kwanza kama m3 au ufugaji wa kuku wa kienyeji ufuge kisasa tafuta mashine ya kutotoleo vifaranga ya mayai elfu 1000 utapata kwa m3 utafanikiwa.
 
Back
Top Bottom