salama wakuu!
Naomba mnisaidie kubrain storm kidogo hapa!
Ninatarajia kwenda China January kuangalia buzzness opportunity ambayo inaweza kunitoa nikiileta Bongo! so nahitaji Ushauri wa aina hiyo ya biashara!
Hapa nina tiketi na kama 10M hivi nataka angalau zifike 20M, nikienda na nikipata mzigo mzuri niuuage umasikini! So guys any buzness ideas???
mm mawazo yangu yamestack kwenye electronics, nguo, furnitures na Hardware! ss naomba mawazo zaidi!!
Leta condom za kike za kichina zinafaida sana
Biashara ya Hardware ni sawa! Unaweza kwenda CHINA ukaagiza mzigo ukaja kuanzia Chamuhimu tafuta mtu wakuaminika Anaeijua vzr hiyo Biashara ili akwambie ni Vitu gani vinauzika haraka! kutokana na Eneo hucka!
biashara ukifika china ziko nyingi sana cha msingi fanya utafiti wako vizuri na vitu unavyo enda kununua unapaswa kuwa makini sana unaweza kurudi masikini kwa feki ni nyingi sana hakikisha ukifika usikimbilie kununua zunguka hata kwa siku tatu kwenye masoko mbali mbali halafu kwa china huo mwezi huwa hawashauri sana kwasababu ya sikuku yao na baridi kali..
Post #2 inakufaa zaidi. Ikilipa nenda China ukabalizi tu.Vipi, mbona hamtaji biashara mpya jamani, mm naumiza kichwa kwny aina ya buzness! Najua ikiwa buzness mpya itakuwa safi sana! Shida ni ipi hasa..... ndio maana naomba msaada wa mawazo hapo