Ushaur Wako Unahitajika

Ushaur Wako Unahitajika

Sule the don

Member
Joined
Jul 28, 2013
Posts
52
Reaction score
2
Mm ni mhitmu wa kidato cha nne mwaka 2012 nkapata iv ya 30 baada ya marekebsho ikaja vlevle nna "D" za hstr,eng,kisw,geog na bios.Naomba ushaur nifanyeje
 
mkuu nenda chuo cha utawala mtwara kasomee secretarial coursee! Vp math una D au F
 
Mkubwa nna f ya math ka vp n2mie adrec ya chuo hcho

cjui addrec yake bt nachojua kuna she mmoja tulimaliza wotee o'level mwaka 2010 alikuwa na 30 kma yako na anasoma pale! So wee kama vp nenda ka google tuu utapata unachotakaa! Overrrr
 
Back
Top Bottom