Wadau nipeni ushaur,kuna mtu anataka nisupply bidhaa ZIFUATAZO kwa kiwanda chake, kwa vipimo vya madebe,na bizaa zenyewe ni ULEZI SOYA, UFUTA ,NGANO,MAHIND LISHE,na ameniomba nitaje bei,hvo nnaomba mnipe bei za bizaa hizo kwa hapo dar wanauzaje?ushaur wenu tafadhal