Mr SGR
Member
- Apr 8, 2021
- 60
- 38
Wakuu naamini kazi zinaendelea! Msaada tafadhali,
mdogo wangu anahitaji kuhama toka wizarani kwenda moja kati ya mashirika haya COSTECH na TAEC( Atomic Energy) ameshapata barua za kukubaliwa anakohamia shida imebaki kuchagua aende ipi kati ya hizo mbili naomba mwenye kujua scale za salary za hizo taasisi na allowances zao nijue pia kama nitapata connection pale ofisi ya katibu mkuu utumishi itakua vema! Msaada wenu tafadhali wadau