Kwani ukisema ni wewe utakufa mkuu? Kwanini unamsingizia mdogo wako?Wakuu naamini kazi zinaendelea! Msaada tafadhali,
mdogo wangu anahitaji kuhama toka wizarani kwenda moja kati ya mashirika haya COSTECH na TAEC( Atomic Energy) ameshapata barua za kukubaliwa anakohamia shida imebaki kuchagua aende ipi kati ya hizo mbili naomba mwenye kujua scale za salary za hizo taasisi na allowances zao nijue pia kama nitapata connection pale ofisi ya katibu mkuu utumishi itakua vema! Msaada wenu tafadhali wadau
Mpaka unaomba kuhama hujui uende wapi na hujui unapoenda mshahara ni sh ngapi, alafu Kama umepata barua ya uhamisho Kuna haja gani kumtafuta katibu ?Wakuu naamini kazi zinaendelea! Msaada tafadhali,
mdogo wangu anahitaji kuhama toka wizarani kwenda moja kati ya mashirika haya COSTECH na TAEC( Atomic Energy) ameshapata barua za kukubaliwa anakohamia shida imebaki kuchagua aende ipi kati ya hizo mbili naomba mwenye kujua scale za salary za hizo taasisi na allowances zao nijue pia kama nitapata connection pale ofisi ya katibu mkuu utumishi itakua vema! Msaada wenu tafadhali wadau
Sio barua ya uhamisho ni ya kujibiwa kuwa taasisi X nafasi za kuhamia zipo hivyo inabaki taratibu za kuhamiaMpaka unaomba kuhama hujui uende wapi na hujui unapoenda mshahara ni sh ngapi, alafu Kama umepata barua ya uhamisho Kuna haja gani kumtafuta katibu ?
Ukweli ni Bora kuliko chenga hizi utashindwa saidika
Kwa Nini aliomba kuhama bila kujua anaenda wapi, mkuu ninavyojua Mimi mtu anaomba kuhama tasisi fulani na anaenda taasisi Fulani na hiyo inatokea Kama umenusa diliSio barua ya uhamisho ni ya kujibiwa kuwa taasisi X nafasi za kuhamia zipo hivyo inabaki taratibu za kuhamia
Dili zilikua kuwili mkuu sema uamuzi ni kuchagua moja toa ushauri wako baina ya hizo 2Kwa Nini aliomba kuhama bila kujua anaenda wapi, mkuu ninavyojua Mimi mtu anaomba kuhama tasisi fulani na anaenda taasisi Fulani na hiyo inatokea Kama umenusa dili
Hapo ni kuchonga na mtu alieko kwa katibu wa idara aliekuwepo na inakoenda sema kwa tz hii mpka hela itembeeDili zilikua kuwili mkuu sema uamuzi ni kuchagua moja toa ushauri wako baina ya hizo 2