Ushauri aina bora kilimo cha mazao ya kudumu Mkuranga

my king

Member
Joined
Jan 22, 2014
Posts
48
Reaction score
9
Habari wadau humu ndani.
Nina shamba lenye ukubwa wa eka 30 Wilaya ya Mkuranga ndani ndani huko.
Mipango yangu ni kupanda mazao ya kudumu eka 20 kati ya hizo 30 msimu wa masika yajayo.
Naomba muongozo aina ya mazao ya kupanda, wapi nitapata miche bora, na ushauri elekezi wa utunzaji wa miche hiyo hadi kufikia kutoa mazao.
Karibuni wadau kwa mawazo yenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…