Yudasti
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 1,002
- 1,443
WanaJF salaam,mimi ni mwalimu kwenye moja ya shule binafsi hapa Tanga na pia nawakilisha walimu wenzangu kwenye kamati ya shule ambayo Mkuu wa shule ni katibu wa kamati hii, ili hali mwenye shule ni mjumbe.
Naomba kujua, ni ajenda zipi muhimu za kusema kwenye taasisi hii juu ya hoja za walimu bila kuiabisha shule na wakati huohuo kuleta tìja kwa pande zote ili waridhike.
Asante
Muwe na siku njema
Naomba kujua, ni ajenda zipi muhimu za kusema kwenye taasisi hii juu ya hoja za walimu bila kuiabisha shule na wakati huohuo kuleta tìja kwa pande zote ili waridhike.
Asante
Muwe na siku njema