Kwanini wanawake hampendanikwa experience yangu........mmmmh......
mi nilisoma St kayumba.........tafuta kama hiyo......zipo nyingi......mtoto anajifunza kufagia na kunyweshea maua........
hahahahaKwanini wanawake hampendani
Feza boyWanajamii,
Naombeni ushauri nataka kumpeleka mwanangu kati ya shule hizi kuanza darasa la kwanza (grade 1) - Al Muntazir Boys Primary au St. Laurent Primary.
Ipi shule nzuri kati ya hizi mbili, au shule nyingine unayodhani ni nzuri kulingana na experience yako
Shukran
Hiyo ya kwanza ni nzuri ila sijafatilia matokeo yao miaka 5Wanajamii,
Naombeni ushauri nataka kumpeleka mwanangu kati ya shule hizi kuanza darasa la kwanza (grade 1) - Al Muntazir Boys Primary au St. Laurent Primary.
Ipi shule nzuri kati ya hizi mbili, au shule nyingine unayodhani ni nzuri kulingana na experience yako
Shukran
Hivi umesoma huu uzi wa mwaka gani?kwa experience yangu........mmmmh......
mi nilisoma St kayumba.........tafuta kama hiyo......zipo nyingi......mtoto anajifunza kufagia na kunyweshea maua........
Wewe ndio wakuulizwa mkuuHivi umesoma huu uzi wa mwaka gani?
Miaka 8 iliyopita.