Ushauri: Amenikataa kwa miaka 10, sasa amenikubali

Ushauri: Amenikataa kwa miaka 10, sasa amenikubali

Makaura

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
892
Reaction score
295
Hi MMU,

Straight to the point, kuna binti nilimpenda sana na bado nampenda sana na nahisi nitaendelea kumpenda( ukweli sijui kanipa nini) kwani kila nikianglia hata contact zake moyo wangu unapata amani na furaha zaidi kabisa nikiangalia picha yake machozi hunilengalenga kwa furaha.

Ni hivi huyu binti nimemtokea mwaka 2005 ( nakumbuka ni tarehe JK anaapishwa) nikiwa nae kidato cha nne na akanikataa katu katu kwa madai kua ana mtu( ukweli nilikua namwona nae huyo B' friend wake), mwaka 2008 tulipomaliza kidato cha sita nikamtokea tena na akanikubali lakini baada ya miezi 5 akaniacha nikamdadisi sababu akakataa kabisa kusema na akafuta mawasiliano na mimi.

Baada ya miaka miwili mbeleni ie 2010 nikamtafuta tena akiwa chuoni na kwa bahati nzuri tulionana ktk chuo chake kilichopo Dar na tukazungumza kwa kirefu sana ila akasema hataki mahusiano mpaka amalize chuo hatimaye nikarudi zangu chuoni mkoani Mwanza nikaweka hitimisho kwamba ndio mwisho na simtafuti tena!

Mwaka 2013 akiwa anamalizia masomo yake ya udaktari nikawauliza marafiki zake juu yake na wakaniambia hakuwahi kuwa na mtu toka alipo maliza kidato cha nne kwa maneno hayo yakanivutia nikawambia kua mwambeni kua " still Makaura Loves her" lakini hakuoneshe any response.

Mwaka 2015 January akanitafuta hewani mwenyewe kwa simu ya kazini sikuamini na furaha ilinijaa tele na tukazungumza na hatimaye tukapeana contact na tukaaza kuzungumza siku hadi siku.

Akaniambia kua yupo na mtu lakini generall hakuna future yeyote kwa jinsi anavoona.

Kwa maneno hayo yakanikatsha tamaa na nikaamua kutowaliana nae tena.

Tarehe 15 October akanitafuta kwa kasi ya ajabu na nikafurahi sana kuwasiliana nae. Mchana wa leo akaniambia yupo tayari kwa ombi langu la miaka kumi iliyopita.

Na kibaya akaniambia ktk historia ya maisha yake hakuwahi fanya mapenzi(sex).
Historia yangu fupi, katka kipindi hiki chote mwaka 2013 ilinibidi nimtafte mtu mwingne na nikampata ila ukweli upendo upo kule kule kwa huyo alonikata mwaka 2014 tukashindwana kutokana kushindwa kuvumilia tabia yangu( sio michepuko) nami pia nikashndwa kuvumilia tabia yake( sio michepuko) ila mpaka leo ananipenda na anatamani turudiane na yupo tayari kunivumilia kwa ujumla nikaona hapana mie sintoweza hvyo tumekua normal friend na ninamsdia sana kimawzo na kiuchumi( ni mwanafunzi wa chuo).

Mwaka huu 2015 baada ya kuachana nimepata kuanguka hapa na pale na wadada wengine kutokana na kushndwa kuvumilia hisia za mwili but it was under extra due care kuepuka HIV hvyo condom nilitumia kwa hao.
Back to the topic ombi langu ni hili.

1. Je nimkubali?Ukweli bado nampenda

2. Kama swali la kwanza ni ndio.mkwa utaratibu upi?

3. Kweli ananipenda??

NATANGULIZA SHUKRANI!
 
Hi MMU....straight to the point,kuna binti nilimpenda sana na bado nampenda sana na nahisi nitaendelea kumpenda( ukweli sijui kanipa nini) kwani kila nikianglia hata contact zake moyo wangu unapata amani na furaha zaidi kabisa nikiangalia picha yake machozi hunilengalenga kwa furaha. Ni hivi huyu binti nimemtokea mwaka 2005( nakumbuka ni tarehe JK anaapishwa) nikiwa nae kidato cha nne na akanikataa katu katu kwa madai kua ana mtu( ukweli nilikua namwona nae huyo B' friend wake), mwaka 2008 tulipomaliza kidato cha sita nikamtokea tena na akanikubali lakini baada ya miezi 5 akaniacha nikamdadisi sababu akakataa kabsa kusema na akafuta mawasiliano na mimi. Baada ya miaka miwili mbeleni ie 2010 nikamtafuta tena akiwa chuoni na kwa bahati nzuri tulionana ktk chuo chake kilichopo Dar na tukazungumza kwa kirefu sana ila akasema hataki mahusiano mpaka amalize chuo hatimaye nikarudi zangu chuoni mkoani Mwanza nikaweka hitimisho kwamba ndio mwisho na simtafuti tena!! Mwaka 2013 akiwa anamalizia masomo yake ya udaktari nikawauliza marafiki zake juu yake na wakaniambia hakuwahi kuwa na mtu toka alipo maliza kidato cha nne kwa maneno hayo yakanivutia nikawambia kua mwambeni kua " still Makaura Loves her".....lakini hakuoneshe any response. Mwaka 2015 January akanitafuta hewani mwenyewe kwa simu ya kazini sikuamini na furaha ilinijaa tele na tukazungumza na hatimaye tukapeana contact na tukaaza kuzungumza siku hadi siku. Akaniambia kua yupo na mtu lakini generall hakuna future yeyote kwa jinsi anavoona. Kwa maneno hayo yakanikatsha tamaa na nikaamua kutowaliana nae tena. Tarehe 15 October akanitafuta kwa kasi ya ajabu na nikafurahi sana kuwasiliana nae. Mchana wa leo akaniambia yupo tayari kwa ombi langu la miaka kumi iliyopita. Na kibaya akaniambia ktk historia ya maisha yake hakuwahi fanya mapenzi(sex).
Historia yangu fupi, katka kipindi hiki chote mwaka 2013 ilinibidi nimtafte mtu mwingne na nikampata ila ukweli upendo upo kule kule kwa huyo alonikata mwaka 2014 tukashndwana kutokna kushindwa kuvumilia tabia yangu( sio michepuko) nami pia nikashndwa kuvumilia tabia yake( sio michepuko) ila mpaka leo ananipenda na anatamani turudiane na yupo tayari kunivumilia kwa ujumla nikaona hapna mie sintoweza hvyo tumekua normal friend na ninamsdia sana kimawzo na kiuchumi( ni mwanafunzi wa chuo). Mwaka huu 2015 baada ya kuachana nimepata kuanguka hapa na pale na wadada wengine kutokana na kushndwa kuvumilia hisia za mwili but it was under extra due care kuepuka HIV hvyo condom nilitumia kwa hao.
Back to the topic......ombi langu......ni hili....
1. Je nimkubali?? ukweli bado nampenda
2. kama swali la kwanza ni ndio......kwa utaratibu upi?
3. kweli ananipenda??
NATANGULIZA SHUKRANI!!!
Tupo busy sana kipindi hiki. Hakikisha kura yako unampigia Dr Magufuli.
 
Lazima muelezane ukweli kuhusu maisha yenu ya nyuma na sasa, na msiwekeane vinyongo kumbe kasha..!! na muwe tayari kupima v.v.u then mpendane kwa dhati😀
 
UPUMBAVU wako ndio utakaokuponza mtu akuzungushe for 10 years hlf aje kukukubali hivi hivi tu, kuna walakini hapo Makaura
 
Last edited by a moderator:
Haaa 10 yote wasubiria nini, keshatumika weeee ndio anakuja kwako
 
Eti hajafanya sex. Na wewe unakubali kabsaaa hahaaa unauziwa mbuzi kwenye gunia
 
Hapo mzigo til ndoa...n unaoa wakuta mtelezo ka umekanyaga ndizi....
 
Usikilize moyo wako, lakini hiyo hekaya ya "hajafanya" isiwe kigezo na wala usiitilie maanani, watu wanaitumia kama defence mechanism ya kuboost ndoa. Ukioa tu ndani unakuta tofauti na ulichokuwa ukihubiriwa kuwa "sijafanya". Na hapo huna jinsi tena kumwacha huwezi na kingi ndio umeingia
 
Kwa Miaka 10 hukufikia 'standards' alizokuwa anataka.
Leo umefikia 'standards' kwasababu anataka ndoa.
Anakuangushia jumba bovu.
 
Maushauri ya humu ndani, mmmh. Ukiambiwa changanya na za kwako. Ngoja nijipitie tu.
 
Una moyo wa uvumilivu 10years kweli kupenda ni kitu kingine
 
Du! 10years si mtoto angekuwa darasa la sita sijuu ni kuite zoba sijui shujaa au una roho ya plastiki
 
Back
Top Bottom