Ushauri: Ana division four ya 29, akasomee nini?

Ushauri: Ana division four ya 29, akasomee nini?

Moniel

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2020
Posts
274
Reaction score
603
Wakuu habarini.

Nina mdogo wangu kamaliza form four mwaka jana, amepata div four 29

Naombeni ushauri anaweza kwenda vyuo vya kati vinavyotoa certificate?
Au ni chuo gani kitaendana na ufaulu wake

Ana Hist D, kiswah D, Bio D, Chem D, Geo D, Phy F, Engl F, Math F

Jinsia ni wakike

Ahsanteni
 
Wakuu habarini.

Nina mdogo wangu kamaliza form four mwaka jana, amepata div four 29

Naombeni ushauri anaweza kwenda vyuo vya kati vinavyotoa certificate?
Au ni chuo gani kitaendana na ufaulu wake
Ahsanteni
Hiyo ni division one kule CCP, mtafutie huko.
Ila Kama unaona ni mwelewa mpeleke veta akachague kozi yoyote, ufundi unalipa hahitaji kutembeza bahasha baada ya màfunzo.
 
Hiyo ni division one kule CCP, mtafutie huko.
Ila Kama unaona ni mwelewa mpeleke veta akachague kozi yoyote, ufundi unalipa hahitaji kutembeza bahasha baada ya màfunzo.
Awe na connection na akiingia akasome vinginevyo kwapa zitamuuma sana kuongoza magari barabarani
 
Wengi tumekariri kwamba maisha ni kusoma tuu. Kama ameshaona masomo hayapandi, ni bora aangalie kitu kingine anachopenda afanye hicho.
Upo sahihi, ila malengo yake bado hajachoka anataka aendelee kusoma
 
Back
Top Bottom