Bro pokea maua yako,!Aanze na udereva veta alafu akomae na mechanical engineering ya veta pia mtaani mtafutia garage apige kwa vitendo
Utakuja kunikumbuka
hii lazima awe na hobby ya haya mambo, vingenevyo huko nako atatoka na DIV IV ya 29Aanze na udereva veta alafu akomae na mechanical engineering ya veta pia mtaani mtafutia garage apige kwa vitendo
Utakuja kunikumbuka
Ni tofauti kuwa na 4 29 sio kwamba hakuwa na malengo makubwa kuna watu wana anza vizuri ila wanamaliza vibayahii lazima awe na hobby ya haya mambo, vingenevyo huko nako atatoka na DIV IV ya 29
Hiyo ni division one kule CCP, mtafutie huko.Wakuu habarini.
Nina mdogo wangu kamaliza form four mwaka jana, amepata div four 29
Naombeni ushauri anaweza kwenda vyuo vya kati vinavyotoa certificate?
Au ni chuo gani kitaendana na ufaulu wake
Ahsanteni
Awe na connection na akiingia akasome vinginevyo kwapa zitamuuma sana kuongoza magari barabaraniHiyo ni division one kule CCP, mtafutie huko.
Ila Kama unaona ni mwelewa mpeleke veta akachague kozi yoyote, ufundi unalipa hahitaji kutembeza bahasha baada ya màfunzo.
Sawa anataka kusomea nini? Ulimuuliza?Malengo yake ni kusoma mkuu
NimeonaNimesha update
Wengi tumekariri kwamba maisha ni kusoma tuu. Kama ameshaona masomo hayapandi, ni bora aangalie kitu kingine anachopenda afanye hicho.Malengo yake ni kusoma mkuu