Kichwa Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,726
- 314
Weka picha tuone
Chief - Mpeleke CCBRT .
Nenda CCBRT.
Kama uko ludewa pia waeza fika Mbeya referral nadhani gharama za kawaida sana, sina hakika kama CCBRT wako karibu huko ludewa.
Tatizo lake linatibika kwa kufanyiwa opareshen yaani surgery ambayo inaitwa (Cataract Surgery)Hii inafanywa kwenye hospitali nyingi za mkoa si opareshen kubwa sana na within a week atakuwa poa kabisa wala haina gharama
Ushauri wa m2flani name Balaki uzingatie, btw nyamatarekwetu acha utani, hayajakukuta
Asanteni sana kwa wote mlionishauri; nilimpeleka babangu CCBRT ametibiwa kapona kabisa hata yeye (baba) hakuamini km anaona.
CCBRT wame mhudumia vizuri tena kwa kutumia bima ya afya kwenye kila kitu hadi chakula; gharama yetu ilikuwa kumsafirisha tu.
Nichukue nafasi hii pia kuwashukuru CCBRT kwa huduma yao nzuri na nawaomba wa endelee hivyo hivyo na hospitali nyingine waige mfano wa CCBRT.
Vituko baada ya kuona.
Baunsa alikuwa anapita km mita 15 toka alipobaba; baba akasema mwoneni yule anatembea km anataka kupigana kuweni makini.
Mdada alivaa kimini; baba aliuliza hawa ni watoto wa mtaani?
Sharobaro alipita kwa style ya kudunda dunda; baba huyu akitembea kwa kuruka ruka hivi hadi jioni si atakuwa amechoka sana.
Kifupi nawashuru sana kwa ushauri wenu.
CCBRT ipo DAR ES SALAAM,Hiyo CCBRT iko mkoa gani mkuu?maana hata mimi nasumbuliwa na huu ugonjwa kwa muda mrefu!NAOMBA UNIPM UNIPE NAMBA YAKO
Asanteni sana kwa wote mlionishauri; nilimpeleka babangu CCBRT ametibiwa kapona kabisa hata yeye (baba) hakuamini km anaona.
CCBRT wame mhudumia vizuri tena kwa kutumia bima ya afya kwenye kila kitu hadi chakula; gharama yetu ilikuwa kumsafirisha tu.
Nichukue nafasi hii pia kuwashukuru CCBRT kwa huduma yao nzuri na nawaomba wa endelee hivyo hivyo na hospitali nyingine waige mfano wa CCBRT.
Vituko baada ya kuona.
Baunsa alikuwa anapita km mita 15 toka alipobaba; baba akasema mwoneni yule anatembea km anataka kupigana kuweni makini.
Mdada alivaa kimini; baba aliuliza hawa ni watoto wa mtaani?
Sharobaro alipita kwa style ya kudunda dunda; baba huyu akitembea kwa kuruka ruka hivi hadi jioni si atakuwa amechoka sana.
Kifupi nawashuru sana kwa ushauri wenu.
CCBRT ipo DAR ES SALAAM,
ukifika/kama upo Dar panda daladala zinazokwenda Msasani, Shuka kituo kinaitwa Macho au CCBRT.
Hapo kituoni muulize yeyote hosp ccbrt iilipo utaonyeshwa ni mwendo wa dk 3 au 5 kutoka hapo kituoni.
Salamu zimefika ila anataka akuonehahahaha, mkuu umenifurahisha sana! kumbe sio mchezo mtu kutokuona kwa muda mrefu, hahaha
haya msalimie baba au tupe nyingine mpya baba aliyosema
Salamu zimefika ila anataka akuone
Kingine baba alikuwa na presha kipindi haoni ila chakushangaza baada ya kuona tatizo la presha halipo tena nadhani ilisababishwa na msongo wa mawazo wa kutoona
Kwa kukadiria ulitumia kama kiasi gani cha pesa?Asanteni sana kwa wote mlionishauri; nilimpeleka babangu CCBRT ametibiwa kapona kabisa hata yeye (baba) hakuamini km anaona.