Ushauri: Ana wasiwasi kwamba kaathirika

Joined
Jan 5, 2015
Posts
9
Reaction score
4
Anaitwa charles ana miaka 26 ni mwanafunzi wa ngazi ya stashahada na yuko mwaka wa kwanza katika chuo kikuu cha SAUT mwanza.

Tatizo lake ni kuwa na waswas na afya yake mana kafanya mchezo kuzama chumvini (oral sexual) mara moja tu ktk maisha yake, sasa anauliza je atakuwa kaathirika au laaa!

Maana hana aman kabisa.
 

Hii chai au?!.. Peleka wendawazimu huko
Mwambie aende hospital
 
hatuwezi kujua kwa kwa kweli.
atakuwa ameadhirika kama aliefanya nae ameathirika

Lakini pia anaweza kuwa haja athirika.
Mwambie ili aishi kwa amani kabisa aende tu
kupima.Ni vizuri kujua afya yako.
 
Zinaa mnazipenda matokea mnayakataa nyambaff!! kwani ulilazimishwa?????????????
 
SAUT kuna stashahada ya nini kwanza? , hebu acha ungese wewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…