Anti-Hacker
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 803
- 1,233
- Thread starter
-
- #41
Anataka asikuache hivihivi akupe ngoma
Si mkagera ni m iringaMkuu nenda kajilie ji bwawa hilo ,
Samahan kidg kutoka nje ya mada ila wanawake wa kagera na bukoba wana mabwawa ya mtera
Hata ukidharaulika haina shida utabaki dume la mbegu kama ulivyo now na hao wadada 6 waliobaki .Hivi wanawake wote hao unaweza kuwahandle kweli ,na vipi hawakufumanii hahaaaBut naona nikiicha kama atanidharau vile
Hata ukidharaulika haina shida utabaki dume la mbegu kama ulivyo now na hao wadada 6 waliobaki .Hivi wanawake wote hao unaweza kuwahandle kweli ,na vipi hawakufumanii hahaaa
Duuh [emoji25] [emoji25] ,wanaume nyieee mfyuuKila mmoja na tyme yake. Sema hua nakaz tu yakuwaaminusha kua mm ni mwaminifu na mwenye malengo nao
We ni chaja ya kobe
We jamaa nshakujuaSo nifyekeleee mbali Ofa.....
We jamaa nshakujua
Wanawake 7!!!Hapana kaka...
Ucjal ngoja nikutunzie siriKaushia kaka...usijechafua ID nyingine
Kawaida kakaWanawake 7!!!
Unatakiwa kuwa makin, yani hapo anataka akutunuku kitu ambacho hutakaa uje umsahau kabisaaaaaa[emoji13] ndo mana hataki akuache hivi hiviMBNA wengi mnasema Umeme au kweli...[emoji135]
Thanks nahisi nimejifunzaUnatakiwa kuwa makin, yani hapo anataka akutunuku kitu ambacho hutakaa uje umsahau kabisaaaaaa[emoji13] ndo mana hataki akuache hivi hivi
Vp ana chura ya kutosha huyo mrembo? Sory kwa swali langu la kuchomekea!!Habari Humu Jf mimi ni mwenyeji Humu.but nimeamua kuja na new ID kwa sababu mbalimbali....but tuachane na hayo ... Inshort Mimi Nina wanawake 7 na wote nimewaahidi nitawaoa...but had I sasa sijui yupi nitaoa...but mmoja kati yao nilianisha nae mahusiano mwaka 2016 kwa wakati huo m nilikua simpend kivile....na sijawahi Fanya nae mapenzi but kutokana na upambanaji mi nimekua mbali nae kwa miezi 4,Na sasa anadai eti tuachane kwa sababu mi nipo mbali na mwanaume aliyemtoa Bikra amemrudia na kikubwa eti "kabla hatujaachana rasmi in mpaka nifanye nae mapenzi" yaani eti Akishanipa penzi lake nisimtafute tena eti kua anaona atajisikia vibaya kisa alinihaidi atakua mke..na eti sijala chochote chake so anaona akinipa penz lake kama pension ya mahusiano yetu..Anaamini nampenda sana tena sana wakati mi upande wangu nilikua namvutia tyme tu..but shida yangu no kumgegeda but alivyosema ananipa penzi ndo tuachane hapo ndo pananiogopesha...so ushauri wenu tafadhari....[emoji101][emoji120]..kumbuka hajala hata jero langu... But nimempa maneno mengi ya inspiration juu yake kama na future hivi...pia povu na kucoment ujinga sitaki...kama unaona haikuhusu sorry Fyekelea Mbali
Kidogo kajaliwaVp ana chura ya kutosha huyo mrembo? Sory kwa swali langu la kuchomekea!!
Piga kazi,ila tumia zana.Hakikisha unajituma vya kutosha ili uitendee haki hiyo zawadi yake ya kukutunuku!!Kidogo kajaliwa
Yeap nilikua nimesahau kidogo..Piga kazi,ila tumia zana.Hakikisha unajituma vya kutosha ili uitendee haki hiyo zawadi yake ya kukutunuku!!
ID UMEBADILI LAKINI NNIMEKUJUA. Kwani lile tatizo lako la upungufu wa nguvu za kiume umepona? Maana ulikuja kuomba msaada wa dawa hapa jamii F... Ulisema huwezi fanya mapenzi kwavile huwezi simamisha umme. pole sana. naona demu wako kashindwa kukuvumilia kaamua kukuacha hawezi kuwa na mwanaume ambaye sio rijali.Habari Humu Jf mimi ni mwenyeji Humu.but nimeamua kuja na new ID kwa sababu mbalimbali....but tuachane na hayo ... Inshort Mimi Nina wanawake 7 na wote nimewaahidi nitawaoa...but had I sasa sijui yupi nitaoa...but mmoja kati yao nilianisha nae mahusiano mwaka 2016 kwa wakati huo m nilikua simpend kivile....na sijawahi Fanya nae mapenzi but kutokana na upambanaji mi nimekua mbali nae kwa miezi 4,Na sasa anadai eti tuachane kwa sababu mi nipo mbali na mwanaume aliyemtoa Bikra amemrudia na kikubwa eti "kabla hatujaachana rasmi in mpaka nifanye nae mapenzi" yaani eti Akishanipa penzi lake nisimtafute tena eti kua anaona atajisikia vibaya kisa alinihaidi atakua mke..na eti sijala chochote chake so anaona akinipa penz lake kama pension ya mahusiano yetu.
Anaamini nampenda sana tena sana wakati mi upande wangu nilikua namvutia tyme tu..but shida yangu no kumgegeda but alivyosema ananipa penzi ndo tuachane hapo ndo pananiogopesha...so ushauri wenu tafadhari....ππ..kumbuka hajala hata jero langu... But nimempa maneno mengi ya inspiration juu yake kama na future hivi...pia povu na kucoment ujinga sitaki...kama unaona haikuhusu sorry Fyekelea Mbali