Ushauri: Anataka kumfukuza Mkewe

Ushauri: Anataka kumfukuza Mkewe

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
IMG_20240315_121908.jpg

"Jamani naombeni mnishauri, mimi nimeoa na ninakaa kwa baba wa mke wangi. Sasa nimegundua mke wangu kanicheat, nataka nimfurumushe hapa nyumbani, sijui nyie mnaonaje?"
 
....lakini kwa vile heeeee ninaishi hapa nyumbani kwa wakwe zangu...mwenye sauti ni wewe ,haya ni baadhi ya maneno kutoka kwenye wimbo wa bendi mama nchini ambao wewe dot.com ungekuhusu
 
Back
Top Bottom